Kipinyin

Kipinyin ni lugha ya Kiniger-Kongo nchini Kamerun inayozungumzwa na Wapinyin. Mwaka wa 2001 idadi ya wasemaji wa Kipinyin imehesabiwa kuwa watu 24,600. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kipinyin iko katika kundi la Grassfields ambalo linafanana na lugha za Kibantu.


© MMXXIII Rich X Search. We shall prevail. All rights reserved. Rich X Search